Hii ni hatua ya kwanza ukiwa unatafuta shahada ya kwanza. Ikiwa ni ngazi ya vitendo zaidi ya shahada, ngazi hii hutambulisha wanafunzi kwa dhana na mazoezi ya biashara na usimamizi. Wanafunzi wanatarajiwa kupata ujuzi na mazoezi maisha katika maeneo makubwa ya sekta ya usimamizi wa biashara ili iwe mwongozo na rasilimali za utafiti wao siku zijazo.
Intake: Tunachukuwa wanafunzi mara nne kwa mwaka, Januari, Aprili, Julai na Oktoba.
Tunatoa shahada ya associate degree katika (Associate Degree in):
- Associate Degree in Business Administration
- Associate Degree in International Management
- Associate Degree in International Tourism and Hospitality Management
Kiingilio:
- Muda wa masomo: Two academic years
- Umri: Minimum age 17 years
- Kiwango cha elimu: High School Degree or equivalent
- Ngazi ya elimu ya Kiingereza: IELTS or equivalent (Only for students from non-English speaking countries or students who did not study at English speaking school
- Ada: 1st Year: 7900 / 2nd Year: 8900 Euro
Note: Study fee does not include application and reservation fee (to guarantee you a study place) of 190 Euro (onetime payment and non-refundable.