About this page

Dear Visitor, kindly note that this is a short & uncontrolled translated version of the English website. That is why you can't rely on this version to make a decision. We would like to ask you to visit OUS.CH

The details you find on this version are old and not updated. So, only the English version is valid

Joint diploma AWT1

Students Testimonials

Students Testimonial about ABMS Male Student Testimonial about ABMS Famle Student Testimonial about ABMS

Ukipata shahada kutoka OUS - Chuo Kikuu Huria cha Uswisi kunakuwezesha kuongeza kipato chako.

  • Ukiwa na shahada ya kwanza unaweza kupata $ milioni 1 zaidi ya cheti ya shule ya sekondari.
  • Ukiwa na shahada ya pili, unaweza kulipwa mara mbili zaidi ya mwenye cheti cha shule ya sekondari.

Vyeti kutoka Uswisi zinadhaminiwa sana na makampuni ulimwenguni kote

Waajiri ulimwenguni kote wanaheshimu shahada za Uswisi, hasa katika elimu ya usimamizi, kila mwaka vyuo vikuu vya Uswisi huchukua nafasi kati ya tatu bora ulimwengui kote (Chanzo: WEF)

Ukiwa unatafuta kazi, na mwajiri aone umefuzu kutoka chuo cha Uswisi, ni dhahiri kwamba una ujuzi zaidi ambao wanafunzi waliofuzu kutoka vyuo vingine hawana.

Chuo Kikuu cha mtandao kilichosajiliwa na chenye vibali rasmi

Tunafahari kusajiliwa na vibali kutoka taasisi tofauti.

Fanya Kazi ukisoma

Njia yetu ya kufundisha inakupa nafasi usioweza kupata katika vyuo vikuu vya jadi, ukiwa unasoma na chuo chetu, unaweza kufanya kazi wakati huo huo % ukisomea shahada ya kwanza, ya pili au hata Udaktari.

Video about Location Video about Graduation Video about Switzerland
Zurich City Graduation at ABMS About Switzerland

Recognition

Part of A.B.M.S. Education Group for Further informations about A.B.M.S. Education Group please check the Government's Official Web Portal - State of Zug (Switzerland)

EFQM.pngThe-Restaurant-Association.jpgISIC.jpgISO.pngBHA.pngIQS.jpgITIC-IYTC.jpgACBSP.pngASIC.jpgEUCDL.pngSTA-Travel.jpgUNESCO.jpgECLBS.pngCHRIE.pngDiethelm-Keller-Siber-Hegner.pngAHLA.pngASCBE.gifAlmond-Vocational-Link-Ltd-logo.jpg