OUS imesajiliwa rasmi na jimbo la Zug nchini Uswisi na wanafunzi wa Kimataifa wanaweza kuomba ofisi zetu zihakikishe shahada zao zinapigwa mihuri na Mthibitishaji wa Uswisi.
OUS ina fahari kuwa mwanachama kamili na mwenye vibali kutoka na Baraza la Shule za biashara zinazoongoza Ulaya ( ECLBS.og ). ECLBS ni chama kilichosajiliwa rasmi kinachosimamiwa na wasimamizi wa juu wenye sifa ili kusaidia shule za biashara kuboresha elimu yao.
OUS ni fahari kuwa vibali kutoka Baraza la Ulaya la masomo ya mbali ( EUCDL.com )
Wahadhiri wetu ni wataalamu katika stadi zao na wana mafanikio makubwa nkatika taaluma.
Wafanyikazi wetu wametoka katika nchi tofauti na hufanya kazi pamoja vizuri. Hii ni ishara nzuri ambayo yenyewe ni moja ya mahitaji muhimu katika sekta ya usimamizi. Pia wana tabia ya kujenga uhusiano mzuri na wanafunzi kutoka sehemu zote ulimwenguni. Wafanyakazi wote kutoka wasimamizi wa chuo na walimu hujitolea zaidi ili kufanikisha malengo ya vhuo na wanafunzi. Kwa hivyo hufanya kila linalowezekana ili kuwaandaa vizuri wanafunzi katika ulimwengu wa biashara. Shauku yao ni kuambukiza motisha wanafunzi ili washiriki wenyewe katika mbinu za kisasa na njia bunifu wa kufundisha.