About this page

Dear Visitor, kindly note that this is a short & uncontrolled translated version of the English website. That is why you can't rely on this version to make a decision. We would like to ask you to visit OUS.CH

The details you find on this version are old and not updated. So, only the English version is valid

Joint diploma AWT1

Students Testimonials

Students Testimonial about ABMS Male Student Testimonial about ABMS Famle Student Testimonial about ABMS

Uswisi huhusishwa ulimwenguni kote na elimu, usahihi, usafi na huduma bora. OUS inawakilisha ubora wa Uswisi kwa bei nafuu. Yeyote anayesoma na chuo chetu hafaidiki tu na cheti kinachoheshimiwa bali hupata pia ujuzi na sifa zinazokubalika na kuhitajika ulimwenguni kote.

Hata hivyo, nadharia peke yake haitoshi ikiwa utaalamu na ujuzi haujafanyiwa mazoezi hadi kuwa asili ya pili. Tunaipa umuhimu swala la vitendo na mazoezi. Tunakupa nafasi ya kufanya kazi ili upate uzoefu na uweze kukuwa kitaalamu hata kabla ya kuhitimu.

Wanafunzi kufanya kazi zinazowalipa katika mabenki, makampuni, usimamizi wa hoteli na mapokezi wakati wa mafunzo yao, nafasi zinazowapa uwezo wa kupata uzoefu zaidi katika hali halisi ya maisha ya kila siku ya kazi.

Wanafunzi wanatayarishwa ipasavyo kwa changamoto hii. Lugha ya kijerumani imeingizwa katika kozi hii. Pia kuna nafasi ya kuchagua kusoma lugha za Kifaransa na Kihispania wakati mwingine. Mbali na hayo, sisi huwafundisha wanafunzi wetu kuhusu jinsi ya kupita mahojiano ya kazi na kuwasaidia kukusanya nyaraka za maombi ya kazi.

Katika maisha ya wanafunzi ya kila siku ya shule, wao hufunzwa sifa zinazohitajika kwa ajili ya taaluma yao na pia ufutaji wa sheria. Tunaamini kuwa mandhari inawezesha ukuwaji wa ustadi na taaluma. Hivyo basi tunahakikisha wanafunzi wana mandhari bora, tunawafunza kuheshimiana na kuvumiliana. Tunahakikisha ya kwamba hakuna mtu katika huduma yetu anabaguliwa kwa misingi ya utaifa , rangi ya ngozi , dini , asili, jinsia au umri.

Hata hivyo, nafasi za kuzungumza sio kwa wanafunzi wa mataifa mbali mbali tu bali ni nafasi kwa hata wanafunzi wa hapa nchini. Na sio jambo geni kwa wanafunzi wetu kuhisi kuwa chuo hiki ni nyumbani kwao pia.

Wakati huo huo, wanafunzi pamoja na familia zao wanaweza kuwa na hakika kwamba sisi wenyewe hutimiza sifa tunazozidhamini wenyewe.

Sisi hujitahidi kuwa mfano kwa wanafunzi wetu, tuko tayari kupitia huduma zetu na kuziboresha.

Video about Location Video about Graduation Video about Switzerland
Zurich City Graduation at ABMS About Switzerland

Recognition

Part of A.B.M.S. Education Group for Further informations about A.B.M.S. Education Group please check the Government's Official Web Portal - State of Zug (Switzerland)

STA-Travel.jpgISO.pngEFQM.pngBHA.pngUNESCO.jpgThe-Restaurant-Association.jpgDiethelm-Keller-Siber-Hegner.pngAlmond-Vocational-Link-Ltd-logo.jpgECLBS.pngIQS.jpgACBSP.pngITIC-IYTC.jpgEUCDL.pngAHLA.pngASCBE.gifISIC.jpgASIC.jpgCHRIE.png