Imani , Umoja na Nidhamu ni muhimu kwa mafanikio
OUS Royal Academy of Economics and Technology in Switzerland - Chuo Academy Huria cha Uswisi ni chuo Academy cha kisasa kilichopo katikati ya nchi ya Uswisi , na chuo kinachotilia mkazo masuala yote ya sekta ya usimamizi na biashara. Kina utamaduni wa muda mrefu wa usimamizi katika nchi ya Uswisi, na chuo hiki kina mandhari inayowezesha vijana kutoka sehemu zote za ulimwengu kote wanaotaka kujifunza taaluma za biashara na usimamizi kutimiza lengo lao la kusoma.
Ni mara ya kwanza kwa wengi wa wanafunzi wetu kusoma kupitia mtandao wa intanet, na kusoma na wanafunzi wengi kwa muda mrefu waliotoka katika tamaduni tofauti na geni . Hivyo basi sisi huwapa msaada kila wakati kuanzia mwanzo hadi mwisho wa masomo yao. Hata baada yao kuhitimu, tupo tayari kuwasikiliza na kujibu maswali yao.
Wanafunzi hujifunza kuhusu sekta ya biashara na usimamizi katika mandhari bora. Mitaala huhusisha masomo yote yanayohusiana na usimamizi wa biashara, na baada ya kozi wanafunzi wanaweza kufanya ……… ili kuendelea kusoma . Idadi ya wanafunzi shuleni inawezesha shule kufundisha na kujali kila mwanafunzi kivyake ikizingatia tamaduni, dini na asili ya kila mmoja.
Dr. Brayen
OUS Team